Mashabiki wangu nyote mliopo katika kila upande wa ulimwengu huu inabidi mkae mkao wa kula kwani ni siku chache tu zimesalia niweze kuachia rasmi ngoma yangu ya kwanza katika vyombo vya habari.
Ngoma hio inayofahamika kama MIGOMO itapatikana katika blogi hii yangu rasmi siku ya ijumaa tarehe 30 Julai sambamba na kwenda hewani katika vituo vyote vya redio mkoani kisha baadae kufuatwa na launch ya kitaifa.
Migomo ni ngoma ambayo niliiproduce mimi mwenyewe katika studios zangu -RICKY RECORDS zinazopatikana Kilifi Mjini.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Perfect
ReplyDelete