Leo hii ni siku ambayo nnatoa wito kwa wale mashabiki wangu wote walio na nia ya kutoa sapot ya aina yoyote ile kwa career yangu kudondosha namba zao za simu zinazopatikana Whatsapp ili niwaunge katika kundi hili almaarufu RICKY MELODIES FANS.
Katika kundi hili litakalokuwa online masaa 24, mashabiki wangu watapata habari zote wanazozihitaji, nyimbo mpya, ratiba ya shows, tours n.k. pamoja na kupata nafasi ya kuuliza swali lolote kwangu na kupata majibu yao moja kwa moja. Aidha , mashabiki hawa watapata fursa ya kutangamana na kutoa maoni kabambe yanayoweza kusaidia kuinua kipaji changu hata zaidi kando tu na kushiriki katika kurequest na kupigia kura ngoma zangu katika vyombo vya habari.
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment