Nimepanga kuachia ngoma Migomo audio na video kwa mkupuo. Hii ni kwa kuwaonyesha mashabiki wangu jinsi nnavyowajali. Audio inaanguka Ijumaa tarehe 30 Juni huku Video ikipatikana youtube pamoja na kwenye runinga za kitaifa kesho yake ambayo itakuwa jumamosi ya tarehe 1 Julai.
Hadi kufikia sasa, Video nishashut na inaendelea kufanyiwa editing na director Mayuro Mswazi ambaye pia ndiye Meneja wangu.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
I love this, it sounds great. Things are gonna be alright.
ReplyDelete