RICKY MELODIES-MIGOMO-LYRICS
INTRO.
(Suxaphone)
Haiiiii eee...
Haaaa....
Haaaa
VERSE 1
Urembo wako unanipagawisha gal Ouyeee
Kwako tayari nshajitambulisha gal aiyaiya
Urembo wako unanipagawisha gal Ouyeee
Kwako tayari nshajitambulisha galgal gal gal gaaaal
Kila kitu chako
Kimenivutia kwako wee
Nataka niwe wako
You baby
Kila kitu chako
Kimenivutia kwako wee
Nataka niwe wako
You baby
You've got a vanilla flavor
Sjui kwa nini unanibania
Sitachoka kukupenda
Ila bado unanipeperusha
Karibu kwenye yangu dunia
Unachotaka mi nitakupatia aa
Mtoto mzuri ulotulia
Bila kungoja nitakuchumbia
Mi nna mpango nawe
Mi nna miradi nawe
Usijipe kiwewe
Njo basi nitulie nawe
CHORUS
Wee ndo namba moja
Mimi nnayekupenda aa
ila unanikausha
My baby ...eee
Bado sichachoka
Kukubembeleza
Ila umezidishamigomo
Hey umezidisha migomo
(Suxaphone)
VERSE 2
Mtoto unangára kama star
Ukipita unanitesa
Staki nije kusimuliwa
Natamani nije kwenu kutoa posa
Ila bado unanikausha
Na penzi langu unalirushaaa
Nifanyeni , nisemeni
Ili niwe na wewe
Unipe nafasi japo kiduchu
Uonje utam wa penzi langu
Kipi chanzo cha migomo
Unanipa maumivu ya moyo
Unipe nafasi japo kiduchu
Nionje tam ya penzi lako
Kipi chanzo cha migomo
Unanipa maumivu ya moyo
Mrembo mtam kama halua
Kama penzi hua lishachanua ii
Hisia zangu zitatulia
kama kwangu mrembo utaridhia
Mtoto mtam kama halua
Kama penzi hua lishachanua ii
Hisia zangu zitatulia
kama ukiniita mi your baby
CHORUS X2
Wee ndo namba moja
Mimi nnayekupenda aa
ila unanikausha
My baby ...eee
Bado sichachoka
Kukubembeleza
Ila umezidishamigomo
Hey umezidisha migomo
AUTRO
Aaa.. Umezidisha migomo wee..
Punguza migomooo..
Nasema migomo, uwe nami wee..
Punguza migomo
Classic music
We call it classic
Ricky Records
Ricky Melodies
Eyooo.....
(Suxaphone)
(Jingle - Ricky Melodies Touch)
-THE END-
Nice one
ReplyDeletesafi
ReplyDelete